Matukio :Mazungumzo na mtangazaji Rose Chitallah kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


29 Jul 2015

Matukio :Mazungumzo na mtangazaji Rose Chitallah kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU


Mubelwa Bandio na Rose Chitallah studioni
Kipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
Katika kipindi cha wiki hii tumebahatika kuungana na mtangazaji Rose Chitallah
Karibu

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad