Matukio : Taswira ya Rais Kikwete Alipoongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Aliyekuwa Mbunge wa Geita Marehemu Donald Max , Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

29 Jun 2015

Matukio : Taswira ya Rais Kikwete Alipoongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Aliyekuwa Mbunge wa Geita Marehemu Donald Max , Jijini Dar

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila alipowasili kuaga mwili wa  Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, Jumamosi  kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika  Jumamosi  kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
Mama Salma  Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika  Jumamosi  kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
 Rais Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali
 Rais Kikwete akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda
.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015 kwa ajili ya kushiriki shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max.
Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Makamu wa Dkt. Bilal, wakati walipokuwa katika shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max, zilizofanyika Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Bilal, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na baadhi ya Viongozi wakijumuika na waombolezaji katika shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max, Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiifariji familia ya marehemu Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. 

 Wanafamilia wakiwa katika hafla hiyo 
 Wanafamilia wakiwa katika hafla hiyo 
 Wanafamilia wakiwa katika hafla hiyo 
 Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwasili viwanja vya Karimjee
 Wanafamilia wakiwa katika hafla hiyo 
 Sehemu ya waombolezaji
 Rais Kikwete na viongozi wengine wakisimama kwa heshima wakati mwili ukiwasili
 Katibu Mkuu Kiongozi akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Mangeshi
 Wanafamilia wakiwa na picha ya marehemu na msalaba
 Jeneza lenye mwili wa marehemu likipelekwa sehemu yake maalumu kabla ya shughuli za kuuaga kuanza

Katekista akiombea mwili wa marehemu 
 Afisa mwandamizi wa Bunge Saidi Yakubu akisoma wasifu wa marehemu
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiongea machache kuhusu marehemu
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Anne Makinda akitoa pole kwa wafiwa
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Anne Makinda
 Askari wa Bunge wakiandaa jeneza
 Wanafamilia
 Wanafamilia
 Wanafamilia
 Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya marehemu
 Rais Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Max, wakati wa  shughuli za kuaga mwili 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad