Maukio/Kifo :Mazishi ya Mwandishi wa TBC Samweli Chamulomo, Mjini Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


21 May 2015

Maukio/Kifo :Mazishi ya Mwandishi wa TBC Samweli Chamulomo, Mjini Dodoma


 Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akizungumza na  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa, (wapili kulia) , Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dkt, Fenella Mkangala (kulia) na Mke wa Waziri wa Fedha, Naima Malima (kushoto)  katika mazishi ya aliekuwa Mwandishi wa habari wa TBC Dodoma, Samwel Chamulomo , numbani kwa Marehemu eno la Mlezi Dodoma 
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akizungumza katika ibada ya kumwombea marehemu Samweli Chamulomo iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma
  Mke wa Waziri mkuu,Mama tunu Pinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Chiku Galawa akitoa heshima za mwisho kwa  marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma,
 Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw. Clement Mshana na waombolezaji wengine wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma
 Baadhi ya Waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, 
 Baadhi ya Waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, 
 Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akitoa heshima zake za mwisho 
 Mke wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa TBC, Samweli Chamulomo,Theresia Bura akimuaga kwa uchungu mpenzi mumewe marehemu Samweli Chamulomo kwenye ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma
 Jeneza lenye Mwili wa mwandishi wa habari wa TBC Samweli Chamulomo likiwekwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kikuyu mjini  Dodoma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara , akiweka shada la maua katika kaburi la mwandishi wa habari  wa TBC marehemu Samweli Chamulomo yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kikuyu mjini  Dodoma. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad