Matukio : Misa ya Marehemu Mzee Samuel Luangisa Kufanyika Jumamosi Mei 30, 2015 - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


28 May 2015

Matukio : Misa ya Marehemu Mzee Samuel Luangisa Kufanyika Jumamosi Mei 30, 2015


MZEE SAMUEL NTAMBALA LUANGISA

Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya kumuaga Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83), kabla ya kwenda Bukoba kwa mazishi Siku Jumamosi MAY 30th, 2015
kuanzia Saa: 1pm - 5pm

Address: LEE'S Funeral Home L.L.C
160 Fisher Avenue
White Plains, NY 10606

Baada ya Misa sote tutajumuika nyumbani kwa Wafia The Luangisa Residence: 

374 Hawthorne Terrace, 
Mt. Vernon, NY 10552

Mpe taarifa mwenzako wote karibuni. 

Kwa taarifa zaidi wasikiana na:

1. Prof. K. Lwiza 631-273-3859
2. Dr. Abas Byabusha 914-584-7502
3. Shabani Mseba 347-712-8539
4. Hajj Khamis 347-623-8965

Ukitaka kutoa rambirambi yako unaweza kutumia number hizi hapa chini.
Luangisa na Kwame Luangisa. Bank ni Bank of America. Account# 9504210977. Routing# 021000322. Swift code ni BOFAUS3N. 

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake la Bwana litukuzwe. Amen!

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad