Matukio :Waziri Wasira na ujumbe wake ziarani nchini Poland - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


17 Apr 2015

Matukio :Waziri Wasira na ujumbe wake ziarani nchini Poland


Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen M. Wasira, yuko nchini Poland kwa ziara ya kikazi aliyokaribishwa na Waziri Wa Kilimo wa nchi hiyo Marek Sawicki. Pamoja na mambo mengine, ziara hii inahusu Ujenzi wa kiwanda cha Matrekta ya Ursus na Ujenzi wa Maghala ya kuhifadhi chakula chini ya NFRA. Katika ziara hiyo Mhe. Wasira ameambatana na Mkuu wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) Charles Walwa, pamoja na Maofisa wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika na SUMA JKT.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad