Matukio : Mahafali ya 2 ya Programu ya Haki za Binadamu Ukanda wa Afrika Mashariki Yafanyika Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


31 Mar 2015

Matukio : Mahafali ya 2 ya Programu ya Haki za Binadamu Ukanda wa Afrika Mashariki Yafanyika Dar


 Rais wa Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya pili ya Program ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki yaliyofanyika katika Chuo cha Bagamoyo (UB) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga (kulia) akimkabidhi cheti muhitimu wa kozi ya haki za binadamu Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati katika  Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Comfort Maembe, kozi hiyo iliandaliwa na Chuo Kikuu cha Bagamoyo kwa kushirikiana na Akiba Uhaki Foundation ya Kenya na kufanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Picha na Francis Dande)
Rais wa Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga (kulia) akimkabidhi cheti muhitimu wa kozi ya haki za binadamu katika  kwa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Sophie Ogutu kutoka Kenya  jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kozi hiyo iliandaliwa na Chuo Kikuu cha Bagamoyo kwa kushirikiana na Akiba Uhaki Foundation ya Kenya.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad