Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kufungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa
Vuga Mjini Unguja leo (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor
Turky Salim Hassan Turky.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipeana mkono wa pongezi na Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim
Hassan Turky baada kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa
wa Vuga Mjini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akikata utepe kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa
Vuga Mjini Unguja leo (kushoto ni Dkt,K.Ravindranath Daktari Mkuu na
Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital (kulia) Mwenyekiti wa Kampuni
ya Vigor Turky Salim Hassan Turky.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akipata maelezo alipotembelea mashine ya Xray baada ya
kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini
Unguja leo (wa kwanza kulia) Dkt,K.Ravindranath Daktari Mkuu na
Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwa na Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global
Hospital Dkt,K.Ravindranath(wa pili kulia) na Mwenyekiti wa Kampuni ya
Vigor Turky Salim Hassan Turky wakiangalia mashine ya kufanyia Upasuaji
wakati alipotembelea Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa
Vuga Mjini Unguja leo baada ya kuifungua rasmi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital
Dkt,K.Ravindranath (kulia) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za
kutoa huduma katika Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga
Mjini Unguja leo baada ya kuifungua rasmi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Mwakilishi wa
Kampuni ya Global Hospital ya India Dkt.Nagesh Rao (kulia) wakati
alipotembelea katika vyumba vya upasuaji vyenye mashine za kisasa baada
ya kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini
Unguja leo (katikati) Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan
Turky.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Daktari Mkuu na Mwenyekiti
wa Kampuni ya Global Hospital ya India Dkt,K.Ravindranath (katikati)
wakati alipotembelea chumba cha wagonjwa mahututi (Theatre) baada ya
kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini
Unguja leo (kulia) Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk.Jamala
A.Taibu.
Baadhi
ya Madaktar na waalikwa katika sherehe ya ufunguzi wa Hospitali ya
Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Hospitali
hiyo leo.
Baadhi
ya waalikwa mbali mbali katika sherehe ya ufunguzi wa Hospitali ya
Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Hospitali
hiyo leo.
Mwenyekiti
wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky akitoa salamu zake mbele
ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) baada kuifungua Hospitali ya
Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo.
Kaimu
Waziri wa Fedha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora
Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini akisema machache na kumkaribisha mgeni
rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani) kuzungumza na wananchi baada ya kuifungua
Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za ufunguzi wa
Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo
inayomilikiwa na Kampuni ya Vigor Turky ya hapa Zanzibar ambayo itatoa
huduma za Maradhi mbali mbali.
Baadhi
ya Viongozi wa Serikali na taasisi mbali mbali na waalikwa
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake
wakati wa sherehe za ufunguzi wa Hospitali ya Global Hospital iliyopo
Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo inayomilikiwa na Kampuni ya Vigor Turky ya
hapa Zanzibar ambayo itatoa huduma za Maradhi mbali mbali.[Picha na
Ikulu.]
No comments:
Post a Comment