Matukio : Profesa Sospeter Muhongo Atangaza Kujiuzulu Kufuatia Sakata la Tegeta - ESCROW - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Jan 2015

Matukio : Profesa Sospeter Muhongo Atangaza Kujiuzulu Kufuatia Sakata la Tegeta - ESCROW


Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi wa katika mkutano uliofanyika mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Wizara hiyo,zilizopo kwenye Mtaa wa Samora,Jijini Dar es salaam.Waziri Muhongo ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo,kufuatia shinikizo la muda mrefu la kumtaka afanye hivyo au awajibishwe, kufuatia mapendekezo ya Bunge lililopita, lililoagiza serikali kuchukua hatua dhidi yake na wengine kadhaa kufuatia kashfa ya akaunti ya Tegeta Escrow.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad