Matukio : Kamati ya Bunge na Huduma za Jamii Yatembelea MOI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Jan 2015

Matukio : Kamati ya Bunge na Huduma za Jamii Yatembelea MOI


Picha ya pamoja Waziri wa Afya Seif Rashid (wa sita kulia) na wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Huduma ya Bunge ,Kuduma ya Jamii Gregory Teu (wa nne kulia) na  Kaimu  Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI)  Dk,  Othman  Kiloloma (wa tatu kushoto) na wengine ni wajumbe wa kamati hiyo ya  wabunge.
Kaimu  Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI)  Dk,  Othman  Kiloloma (wa pili kulia) akiwa katika kikao hicho na kamati hiyo baada ya kutembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa majumuisho.
Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Huduma ya Bunge ,Kuduma ya Jamii Gregory Teu (katika)  akifafanua jambo wakati wa kamati yiho ilipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI)  na kwenda kutembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)   na kufanya majumuisho katika  Hospitali hiho ( kushoto)  ni Waziri wa Afya Seif Rashid
Mbunge wa Viti Maalum Rukwa  Abia Nyabakari (kushoto)  akisalimiana na Waziri wa Afya Dkt. Seif Rashid, baada ya kutembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), katikati anaye shuhudia ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo  Dk,  Othman  Kiloloma
Kamati ya Kuduma ya Bunge, Huduma za Jamii ilipo Tembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na  kutembelea Vyumba vya Wagogonjwa Mahututi (ICU) katika Taasisi hiyo.
Kamati ya Kuduma ya Bunge, Huduma za Jamii ilipo Tembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na  kutembelea Vyumba vya Upasuaji katika Taasisi hiyo.
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo  Dk,  Othman  Kiloloma (kulia) akionyesha mashine zilizo mbovu kwa Kamati ya Kudumu ya ya Bunge ,Huduma za Jamii. 
Kamati ya Kuduma ya Bunge, Huduma za Jamii ilipo Tembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na  kutembelea Vyumba vya Upasuaji katika Taasisi hiyo.
Mkurugenzi wa Blog ya UJIJIRAHAA Khamisi Mussa (kulia) katika Picha ya pamoja na baadhi ya  Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge , Huduma za Jamii  (kushoto) ni Dk. Hamisi Shaban (kushoto).
Kaimu  Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI)  Dk,  Othman  Kiloloma (katikati), akimuonyesha Waziri wa Afya Seif Rashid, X-ley ya mgonjwa aliyekuwa akifanyiwa Upasuaji wa  mguu mara Kamati ya Kudumu ya Bunge , Huduma za Jamii  walipotembelea Taasisi hiyo
Waziri wa Afya Seif Rashid (kusho) akitia Saini katika Kitabu cha wageni mara kamati ya Kudumu ya Bunge , Huduma za Jamii ilipo tembelea  Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI)  katikati ni Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Huduma ya Bunge ,Kuduma ya Jamii Gregory Teu na (kulia) ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe Stephen

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad