Uchumi Wetu : TPDC Yakutanisha wadau Kujadili Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi, Bagamoyo - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


19 Dec 2014

Uchumi Wetu : TPDC Yakutanisha wadau Kujadili Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi, Bagamoyo


Kamishna Msaidizi wa Gesi, Mhandisi, Nobert Kahyoza, akifungua semina ya TPDC kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini. Semina hiyo ililenga kutoa taarifa muhimu zinazo hitajika kwa wadau katika sekta ya mafuta na gesi kutoka sehemu mbali mbali zikiwemo wizara, taasisi na waandishi wa habari, semina hiyo iliyofanyika Bagamoyo.
 Wadau wa sekta ya mafuta na gesi walioshiriki semina wakifutilia kwa makini mtoa mada (hayupo pichani) katika semina hiyo Bagamoyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC, Ndg. Michael Mwanda, akifunga semina ya wadau wa mafuta na gesi iliyofanyika Bagamoyo.
Kamishna Msaidizi wa Gesi, Mhandisi, Nobert Kahyoza, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa semina ya wadau wa mafuta na gesi Bagamoyo.
 Washiriki wa semina ya mafuta na gesi iliyoandaliwa na TPDC na kufanyika Bagamoyo, wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad