MultiChoice Africa, kampuni inayoongoza katika kutoa burudani ya kulipiwa
ya dijitali pamoja na IPP Media wamesaini makubaliano yatakayoleta chaneli
maarufu zaidi Tanzania, ITV, kuwa sehemu ya jukwaa la DStv.Ushirikiano huu wa kusisimua utawapa watazamaji wa Tanzania kote nchini
fursa ya kuangalia vipindi vilivyotengenezwa hapa hapa nchini vikiwa na
ubora mkubwa kidijitali. Chaneli hii itapatikana kwenye vifurushi vyote vya
DStv ikiwemo kifurushi kilichozinduliwa hivi karibuni cha Bomba, Family,
Compact, Compact Plus na Premium. Kwa Maelezo zaidi Bofya hapa >>>
VIONGOZI WAASWA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WAO - RAS MMUYA.
-
*Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bw.Kaspar Mmuya ameendelea na ziara yake
ya kikazi ya ukaguzi wa miradi na kuongea na watumishi kwa lengo la
kujitam...
56 minutes ago
No comments:
Post a Comment