Nakupongeza sana Nasib Abdul : Mwanamuziki wetu , Diamond Platnumz Ashinda Tuzo 3 za CHANNEL O 2014, Afrika Kusini - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


2 Dec 2014

Nakupongeza sana Nasib Abdul : Mwanamuziki wetu , Diamond Platnumz Ashinda Tuzo 3 za CHANNEL O 2014, Afrika Kusini


.
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage ambapo magari yaliyotumika yote yanatengenezwa South Africa.
Macho ya Watanzania Jumamosi Nov  29 2014 yalielekezwa kwenye utoaji wa tuzo za kituo kikubwa cha TV Afrika Channel O ambapo tuzo zilitolewa hapa Johannesburg South Africa huku Diamond Platnumz akiwa msanii pekee kutoka Tanzania kuchaguliwa kuwania tuzo hizi mwaka huu.
Furaha ya Watanzania ilikua kubwa baada ya kuona kijana kutoka nyumbani Tanzania Diamond Platnumz kushinda tuzo tatu kati ya nne alizokuwa anawania Most Gifted East, Most Gifted Afro Pop na Most Gifted Newcomer yaani msanii mpya.
Kwenye tuzo hizi Diamond aliambatana na mama yake mzazi pamoja na mrembo Zari wa Uganda ambae wamekua wakitajwa kwenye headlines sana na Diamond hivi karibuni.
.
Watangazaji waliohost show kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Most Gifted R&B video
Crazy but Amazing-Donald
Most Gifted West Video
‘Turn Up-Olamide
Most Gifted Ragga/Dancehall
Buffalo Soulja
The Most Gifted Kwaito
Uhuru ft Oskido & Professor Kalawa -tjukutja
Most Gifted East Video 
Diamond Platnumz
Most Gifted Dance Video 
Busiswa-Ngoku
Most Gifted Hip Hop Video 
AKA- Congratulate
.
Zari, Diamond na mama yake mzazi baada ya ushindi wa tuzo 3
Most Gifted Afro Pop Video
Diamond Platnumz
Most Gifted duo/group/featurning
KCEE ft Wizkid-Pull Over
Most Gifted Video of the Year
Carsper  Nyovest- Doc Shebeleza
.
.
Most Gifted Newcomer
Diamond Platnumz
Most Gifted Male Video 
Casper Nyovest-Doc Shebeleza
Most Gifted Female Video
Tiwa Savage-Eminado
.
Rapper A.K.A kutoka South Africa
Tuzo za 2014 za Channel O zimepata historia ya kipekee tofauti na siku nyingine ambazo Wanigeria ndio wamezoeleka kwamba wanashinda kwa wingi ila 2014 Diamond kutoka Tanzania na Carsper kutoka South Africa ndio wasanii pekee waliong’ara zaidi kwa kila mmoja kuondoka na tuzo zake tatu.
Kama Casper asingeshinda tuzo hiyo ya tatu basi Diamond ndio angekua amebeba tuzo nyingi zaidi kuliko msanii mwingine yeyote.
.

.
.
.
Diamond kwenye stage baada ya ushindi wa moja kati ya tuzo zake
..

DSC_1470
.
.
Diamond alipewa heshima ya kutoa tuzo pia vilevile
.
Diamond Platnumz akizungumza machache baada ya kushindi ya Most Gifted Afro Pop
.
Hawa ndio mameneja watatu wa Diamond Platnumz, Babtale , Salam na Said Fela.
.
Mtangazaji na Mwimbaji Vanessa Mdee akichukua Selfie na Diamond na Babu Tale baada ya ushindi wa tuzo tatu.
.
Mameneja wa Diamond Platnumz wakiwa na furaha baada ya ushindi.
.
Mtangazaji  Shadee wa Clouds TV kwenye interview na Carsper Nyovest  wa South Africa ambaye naye amenyakua tuzo tatu kama Diamond Platnumz.
Salamaaaaaa
Diamond , Madam Rita na Salama Jabir
.
Diamond na Zari.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad