Hongera Zake : Mtoto wa Ankal Michuzi Alamba NONDOZZZ katika Chuo Kikuu cha Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


1 Dec 2014

Hongera Zake : Mtoto wa Ankal Michuzi Alamba NONDOZZZ katika Chuo Kikuu cha Dodoma


Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W. Mkapa akiongoza mahafali ya tano ya Chuo Kikuu hicho yaliyofanyika katika eneo la Chimwaga,ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma.

Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye mahafali hayo mara baada ya kutunukiwa Shahada zao mbali mbali leo.wa pili kushoto ni Mtoto wa Ankal bi. Zahra Muhidin Michuzi.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W. Mkapa akiwatunuku Shahada ya Uzamivu wahitimu mbali mbali katika Chuo Kikuu hicho cha Dodoma.
Wahitimu wa Shahada mbali mbali katika Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye mahafali hayo.
shangwe kwa wahitimu hao.
Brass Band ya Jeshi la JKT ikiongoza Mahafali hayo.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W. Mkapa akifunga mahafali ya 5 ya Chuo Kikuu cha Dodoma katika 
Mpiga Picha maarufu Othman Michuzi akimpongeza mdau kwa Kuhitimu
Familia ya Ankal Michuzi
CathBert Kajuna wa Kajunason Blog (Kulia) akipata ukodak na wadau
Familia na wadau wa Michuzi Media Group wakipata Picha ya Pamoja
Cathbert Kajuna akipata Ukodak na mtoto wa Ankal Bi. Zahra
Mambo ya Selfie...Othman Michuzi na Zahra
Wazalendo 25 Blog INAMPONGEZA Zahra Muhidin Michuzi kwa Kulamba Nondozz yake, Mungu amfanikishe Mengi Mema siku zote za maisha yake. Picha Zote na Othman Michuzi wa Mtaa kwa Mtaa Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad