Dini Zetu:Viongozi wa Dini Mbalimbali wamuombea dua Rais Kikwete Ikulu, Dar es salaam - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


11 Dec 2014

Dini Zetu:Viongozi wa Dini Mbalimbali wamuombea dua Rais Kikwete Ikulu, Dar es salaam


 Viongozi wa Dini wakimuombea dua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati walipomtembelea kumjulia hali na kumuombea Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad