Uwekezaji wa Ndani : UTT - AMIS Yafanya Mkutano wa tatu wa Wawekezaji - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Nov 2014

Uwekezaji wa Ndani : UTT - AMIS Yafanya Mkutano wa tatu wa Wawekezaji


 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Uwekezaji Nchini (UTT-AMIS), Joseph Kuzilwa akizungumza wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa UTT-AMIS, HamisKibola, akizungumza wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji.

Simon Higangala, akifafanua jambo wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (UTT-AMIS), Joan Msofe akifafanua jambo jijini Dar es Salaam wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji nchini.


Baadhi ya wanachama wa UTT, wakichangia mada wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji nchini.
Baadhi ya wanachama wa UTT, wakichangia mada wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Uwekezaji (UTT-AMIS), HamisKibola (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Uwekezaji Nchini (UTT-AMIS), Joseph Kuzilwa.
Wanachama wa Mfuko wa Uwekezaji (UTT-AMIS).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad