Mfuko wa Jamii :GEPF katika Maonyesho ya siku ya Viwanda jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Nov 2014

Mfuko wa Jamii :GEPF katika Maonyesho ya siku ya Viwanda jijini Dar


Waziri wa Viwanda na Biashara,Mh. Dkt. Abdallah Kigoda akipata maelezo ya namna ya kunufaika baada ya kujiunga na Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF kutoka kwa Afisa Masoko wa Mfuko huo, Albert Kitunga, wakati alipotembelea banda la maonesho la GEPF kwenye maonyesho ya siku ya viwanda yanayoendelea kwenye viwanja vya maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ‘sabasaba’ Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad