Matukio, Afya : Rais Dk. Jakaya Kikwete Atolewa nyuzi katika Mshono,Afya yake yazidi Kuimarika - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


22 Nov 2014

Matukio, Afya : Rais Dk. Jakaya Kikwete Atolewa nyuzi katika Mshono,Afya yake yazidi Kuimarika


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita.Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri .Kulia kwake ni Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu baada ya kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland alikotolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume wiki iliyopita. Kwa Maelezo zaidi Bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad