SIASA ZETU: MHE. ABBAS MTEMVU AZINDUA OFISI ZA UWT-CCM KATA YA VITUKA , TEMEKE - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


17 Oct 2014

SIASA ZETU: MHE. ABBAS MTEMVU AZINDUA OFISI ZA UWT-CCM KATA YA VITUKA , TEMEKE

 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia), akisaliliana na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara alipo wasili katika Ofisi ya Kata ya   Vituka Dar es Salaam .
  Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ofisi ya wanachama wa (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dar es Salaam  (kushoto ni) Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Kata ya Vituka Temeke Dar es Salaam na wanachama wengine  .
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu na Diwani wa Viti Maalum wa Temeke, Mariam Mtemvu wakitia saini kwenye vitabu vya wageni katika ofisi hizo
Mtemvu akiwa na wafuasi wa CCM wakielekea kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Vituka
Mtemvu akisalimiana na wananchi
Mtemvu, Mariam Mtemvu na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Vituka, Suzana Mdete wakiwapungia mikono wananchi
Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba ya  Mbunge wa Jimbo la Temeke, Mtemvu
Msaidizi Mkuu wa Mbunge wa Temeke, Ally Mehalla akitambulishwa kwa wananchi wakati wa mkutano huo.
Timu ya soka wakiwa katika mkkutano huo
Mtemvu akitoa zawadi kwa msanii Haassn Mapenje  aliyekuwa akitumbuiza kwa sarakasi katika mkutano huo
Msanii Hassan Mkenjula akifanya mambo yake katika mkutano huo
Mbunge akimpongeza msanii Hassan Mkenjula
Mtemvu akisalimiana na mmoja wa wananchama wa CCM
Mdete akifungua mkutano huo wa hadhara

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad