SIASA ZETU :MATUKIO KATIKA PICHA MAANDAMANO YA BAWACHA JIJINI DAR, HALIMA MDEE CHINI YA ULINZI KUPANDISHWA KIZIMBANI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


6 Oct 2014

SIASA ZETU :MATUKIO KATIKA PICHA MAANDAMANO YA BAWACHA JIJINI DAR, HALIMA MDEE CHINI YA ULINZI KUPANDISHWA KIZIMBANI


 Mbunge wa Kawe kupitia chama cha Chadema, Halima Mdee, akipandishwa katika gari la Polisi baada ya kukamatwa akiongoza maandamano ya Wanawake wa Chadema (BAWACHA) yaliyofanyika juzi jijini Dar es Salaam, kwa kile kilichodaiwa kuwa maandamano hayo hayakuwa na uhalali, ambapo maandamano hayo yalikuwa yakienelea Ikulu. Mbunge huyo anataajia kupandishwa kizimbani kujibu tuhuma zinazo mkabili wakati wowote.
 Kinamama wa BAWACHA wakiandamana...na mabango...
 Askari akimdhibiti mmoja kati ya waandamanaji......
 Chini ya ulinzi....
 Baadhi ya kina mama wakizungumza na askari kujaribu kuwaelewesha kuhusu maandamano hayo bila mafanikio..
 Halima Mdee akidhibitiwa chini ya ulinzi.......
Picha kwa hisani ya Mzuka wa Fungo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad