SIASA ZETU :KINANA ATINGA ISIMANI IRINGA AWATAKA VIONGOZI WASIKWEPE MAJUKUMU YAO YA KUWATUMIKIA WANANCHI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


8 Oct 2014

SIASA ZETU :KINANA ATINGA ISIMANI IRINGA AWATAKA VIONGOZI WASIKWEPE MAJUKUMU YAO YA KUWATUMIKIA WANANCHI


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsifia Mbunge wa Jimbo la Isimani,  William Lukuvi kwa uchapakazi wake mzuri wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Magozi, Kata ya Ilolo Mpya, Iringa Vijini leo. Kinana alimjia juu Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu kwa kushindwa kutafutia ufumbuzi migogoro ya wananchi.Pia aliwataka wananchi kuacha kukwepa majukumu yao ya kuwatumikia Wananchi. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa  CCM, Nape Nauye akihutubia katika mkutano huo
 Kinana akisalimiana na wananchi alipowasili kushiriki ujenzi wa jengo la CCM tawi la Luganga Kata ya Ilolo Mpya.
 Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi wakishiriki kufyatua tofali za ujenzi wa jengo la Ofisi ya CC,
 Kinana na Lukuvi wakisaidia kufyatua tofali za kujengea jengo hilo la CCM
 Wanachama wa CCM Shina namba 6 katika Kijiji cha Magozi, Kata ya Ilolo Mpya wakicheza kwa furaha wakati Kinna alipofika kuzungumza nao
 Kinana akizungumza na wananchama wa shina hilo. Kulia kwake ni Balozi wa shina hilo Chengula Mlula
 Kinana na Lukuvi wakitoka kukagua ujenzi wa Zahanati ya Magozi Kata ya Ilolo Mpya, Isimani

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad