MAISHA NA MATUKIO : MDAU EBRA ATUA BONGO KUSHOW LOVE NA BINTIE FAUZIA AKIGRADUATE KAMA SURPRISE... - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


22 Oct 2014

MAISHA NA MATUKIO : MDAU EBRA ATUA BONGO KUSHOW LOVE NA BINTIE FAUZIA AKIGRADUATE KAMA SURPRISE...


 Mdau Ebra anayeishi jiji la New York, Marekani, akipozi kwa picha na binti yake, Fauzia, wakati wa sherehe ya mahafali ya kidato cha nne ya shule Sekondari Baobab ya Bagamoyo, mwishoni mwa wiki. Ebra amewasili nchini kwa ajili ya kuungana na bintiye katika kusherehekea kuhitimu masomo ya kidato cha nne.
 Ebra akipongezana na bintiye kwa furaha.
Ni machozi ya furaha, binti hakuamini kumuona baba yake katika viwanja vya shule hiyo kwani ilikuwa ni saplaiz, na kutoamini umbali wa Marekani.na Tanzania kama angeweza kufika. Hongera sana Ebra kwa kuonyesha upendo wa pekee kwa mwanao.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad