WIZARA YA UJENZI : MKURUGENZI WA BENKI YA DUNIA ATEMBELEA WIZARA YA UJENZI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Sept 2014

WIZARA YA UJENZI : MKURUGENZI WA BENKI YA DUNIA ATEMBELEA WIZARA YA UJENZI


Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akizungumza na Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Bi. Sri Mulyani Indrawati watatu kutoka kushoto pamoja na ujumbe alioambatana nao kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia Wadau hao wa Maendeleo.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akitoa zawadi kumkabidhi Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Sri Mulyani Indrawati kushoto kwake mara baada ya kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya Barabara.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akimshukuru Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Sri Mulyani Indrawati mara baada ya kufanya mazungumzo na Waziri Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi akizungumza katika mkutano wa Uwasilishaji wa Mada ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za kupunguza msongamano (BRT) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliyesimama akizungumza kwenye Mkutano huo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Sri Mulyani Indrawati.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakwanza kushoto akiangalia mandhari ya Barabara za Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT).
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakwanza kulia akiwa na Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Sri Mulyani Indrawati wapili kulia, Mheshimiwa Hawa Ghasia, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI pamoja na wajumbe mbalimbali kutoka Benki ya Dunia wakifatilia kwa makini utolewaji wa taarifa za Mradi wa Ujenzi wa Barabara za mabasi yaendayo haraka(BRT).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad