AJALI IMETOKEA :BASI LA AIR BUS KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA TABORA LIMEPATA AJALI ENEO LA KIEGEYA, GAIRO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


8 Sept 2014

AJALI IMETOKEA :BASI LA AIR BUS KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA TABORA LIMEPATA AJALI ENEO LA KIEGEYA, GAIRO


Shughuli za uokozi zikiendelea muda mfupi uliopita. Basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam leo kuelekea Tabora limepinduka katika maeneo ya maeneo ya Kiegeya Gairo. Haijulikani idadi kamili ya watu waliopoteza maisha lakini ni wengi na wengine wamejeruhiwa vibaya sana. “Picha hazifai kuona na mimi niko eneo la tukio kwa ajili ya uokozi. Viongozi mbali mbali wa serikali tunao hapa..kwakweli ni majonzi vilio nk,” ameandika shuhudu mmoja.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad