KIMATAIFA :Rais Kikwete azungumza na Rais Zuma na Rais Kabila Zimbabwe - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


18 Aug 2014

KIMATAIFA :Rais Kikwete azungumza na Rais Zuma na Rais Kabila Zimbabwe


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini pamoja na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kwa ajili ya viongozi wa SADC wanaohudhuria mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe.Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad