AJALI YA BASI LA HOOD:ANGALIA PICHA BASI LA HOOD TOKA ARUSHA KWENDA IRINGA LAGONGANA USO KWA USO NA LORI! - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Aug 2014

AJALI YA BASI LA HOOD:ANGALIA PICHA BASI LA HOOD TOKA ARUSHA KWENDA IRINGA LAGONGANA USO KWA USO NA LORI!

Basi la Hood lililopata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha.
Raia wakishuhudia ajali ya basi la Hood ilivyotokea.
 Na waandishi wetu
 Basi la Hood lililokuwa likitoka Arusha kwenda Iringa llimepata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha. Basi hilo lilitaka kugongana uso kwa uso na lori la mizigo, ndipo katika kukwepana ikatokea ajali hiyo. Abiria wa basi wamenusurika , ila lori lilidumbukia darajani na hakukuwa na mtu aliyepoteza maisha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad