UCHUMI WETU :MHE. ABBAS KANDORO AZINDUA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 2 JIJINI MBEYA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


29 Jul 2014

UCHUMI WETU :MHE. ABBAS KANDORO AZINDUA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 2 JIJINI MBEYA


Mkuu wa Mkoa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi  wa barabara  akiwa pamoja na Meya wa jiji la Mbeya Athanas Kapunga  wa kwanza kushoto pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr.  Norman Sigalla wa Pili kushoto na  Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Dr.  Samuel Lazaro wa kwanza kulia 

Wakishangilia kwa pamoja mara baada ya kukata utepe


Mkuu wa Mkoa akipeana Mkono wa pongezi na Mkurugenzi wa miradi wa Kampuni ya CICO Ndugu Meng Yuan kampuni ambayo imejenga barabara hiyo.


Hii ndiyo Barabara iliyozinduliwa
Baadhi ya viongozi toka MUST  wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi

 Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Mbeya wakiwa katika eneo la Uzinduzi wa barabara hiyo 

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Abbas Kandoro akizungumza katika ufunguzi wa barabara mpya kutoka eneo la Meta hadi Stendi kuu ya Mabasi jijini Mbeya yenye urefu wa kilomita 2

Dr Norman Sigalla Mkuu wa wilaya ya Mbeya akimkaribisha mgeni rasmi

Meya wa Jiji la Mbeya ,Athanas Kapunga akiongea na wananchi katika uzinduzi wa barabara hiyo



Na Mbeya yetu

 Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Dkt.Samweli Lazaro amesema kuwa  ujenzi wa barabara hiyo umemalizika kwa mkataba wa Gharama ya zaidi sh. Bil.1,5 alipokuwa akisoma taarifa fupi kwa mgeni rasmi



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad