TEKNOLOJIA: WANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


5 Jul 2014

TEKNOLOJIA: WANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI

Baadhi ya waandihi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wanaoshirki mafunzo ya Internet kwa waandishi wa habari wa mikoani yanayotolewa na MISA Tanzania kwa kushirikiana na VIKES.
Mratibu wa Mafunzo ya Internet ,Andrew Malawiti akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo kwa makini.
Wengine somo lilionekana kuwa gumu kiasi ikawalazimu kutizama ukurasa mweupe katika Computer zao.
Mmoja wa wakufunzi katika mafunzo hayo Seif Jigge akitoa maelezo kwa wanahabri wanaohudhuria mafunzo ya Internet  yanayofanyika katika Chuo cha Ufundi VETA mkoa wa Kilimanjaro
 Fadhili Athumani wa Kijiwe Chetu Blog Akisikiliza kwa umakini
Darasa likiendelea.
Kila mshiriki alikuwa na kazi ya kufanya kipindi chote cha mafunzo.
Baada ya kujifunza kwa muda mrefu darasa lililazimika kusimama na kunyoosha mwili kidogo.
Ukafika Muda wa chakula kwa wenzetu ambao hawako katika mfungo.
Kulia ni Dixon Busagaga akipata picha na washiriki

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad