TANZANIA TUIGE MIUNDO MBINU:TASWIRA MBALIMBALI ZA JIJI LA MALABO, EQUATORIAL GUINEA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


1 Jul 2014

TANZANIA TUIGE MIUNDO MBINU:TASWIRA MBALIMBALI ZA JIJI LA MALABO, EQUATORIAL GUINEA


Uwanja wa ndege wa Kimataifa  wa Malabo
Mkeka wa uhakika
Barabara na vivuko vya watu vya kisasa
Katikati ya jiji la Malabo
Makampuni makubwa ya ujenzi ya kimataifa yapo Malabo
Majengo ya kisasa
Barabara za kileo
Uswazi si kubaya sana
Miti na maua kila mahali
Majengo ya kupendeza
Fleti kibao za wananchi na miundombinu bomba
Fleti zaidi
Kampuni kibao za Kichina zipo Malabo
Vikwangua anga vya uhakika
Ulinzi kila kona
Mjengo mpya
Jengo la Wizara ya habari
Vikwangua anga kibao vinamea kila mahali
Miundo mbinu ya Malabo si mchezo
Wakiwezeshwa, kinamama wanaweza: Trafiki wa Malabo kinamama
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Sipopo
Nje ya ukumbi wa Sipopo

Ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Sipopo. Picha Zaidi Bofya Hapa Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad