NONDOZZ : FATUMA MATULANGA WA TBC APATA NONDO YAKE HUKO ULAYA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


6 Jul 2014

NONDOZZ : FATUMA MATULANGA WA TBC APATA NONDO YAKE HUKO ULAYA

Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangangazi la Tanzania (TBC) Fatma Matulanga akiwa mwenye furaha baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika uandishi wa Habari za Biashara Kimataifa (Global Business Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Tsinghua, kilichopo Beijing nchini China leo Ijumaa. Bi Matulanga ni miongoni mwa wahitimu 20 kutoka nchi 16 duniani, akiwa wa pekee kutoka bara la Africa katika darasa lake.
 Fatuma Matulanga akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa Professor Fan Hong wakati wa mahafali yao leo.
Wahitimu mbalimbali kutoka nchi 16 wakifurahia kumaliza kwao chuo.Blogu ya Wazalendo 25 Blog INAKUPONGEZA sana Dada Fatuma Matulanga.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad