MSIBA WA MTOTO : TANGAZO LA KIFO CHA MTOTO EVERLYNE MICHAEL MACHELLAH - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Jul 2014

MSIBA WA MTOTO : TANGAZO LA KIFO CHA MTOTO EVERLYNE MICHAEL MACHELLAH

NDUGU, Michael Machellah anasikitika kutangaza kifo cha Binti yake, Everlyne Michael Machellah (1)kilichotokea jana Julai 2014 katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Marehemu Alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na kuharisha.Mazishi tunatarajia kuyafanya kesho muda na wapi nitawajulisha.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe milele Amina.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad