MBUNGE JIMBONI : MHESHIMIWA GODFREY MGIMWA AWAKIKISHIA UMEME MGAMA IRINGA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


1 Jul 2014

MBUNGE JIMBONI : MHESHIMIWA GODFREY MGIMWA AWAKIKISHIA UMEME MGAMA IRINGA

Mbunge wa  jimbo la Kalenga  Godfrey Mgimwa wa nne  kulia akikagua nguzo za umeme ambazo zimeanza kushushwa kwa ajili ya mradi wa umeme vijijini kama alivyoahidi  wakati wa kampeni  zake ni takribani miezi miwili  sasa utekelezaji umeanza 
Hizi ni nguzo za umeme ambazo zimeshushwa kijiji cha Mgama kwa ajili ya mradi wa umeme 
Mbunge  wa jimbo la kalenga akizungumza na wananchi wa Mgama baada ya kutembelea kijiji hicho na kujionea utekelezaji wa ilani ya CCM na ahadi yake ya kuwaahidi umeme wa uhakika  wananchi hao 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad