MATUKIO :RAIS JAKAYA KIKWETE AJICHANGANYA NA WAUMINI YA DINI YA KIISLAMU KUSWALI SWALA YA EID EL FITR MSIKITI WA MAAMUR UPANGA JIJINI DAR ES SALAAAM - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


29 Jul 2014

MATUKIO :RAIS JAKAYA KIKWETE AJICHANGANYA NA WAUMINI YA DINI YA KIISLAMU KUSWALI SWALA YA EID EL FITR MSIKITI WA MAAMUR UPANGA JIJINI DAR ES SALAAAM

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika mshikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika mshikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi. (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad