MATUKIO : MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA MWAKA WA TAASISI YA SEGAL FAMILY , NGURDOTO, JIJINI ARUSHA. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

11 Jul 2014

MATUKIO : MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA MWAKA WA TAASISI YA SEGAL FAMILY , NGURDOTO, JIJINI ARUSHA.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto huko Arusha tarehe 10.7.2014.
  Baadhi ya washiriki kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwenye ukumbi wa Ngurdoto 
  Baadhi ya washiriki kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwenye ukumbi wa Ngurdoto
  Mwanzilishi wa Taasisi ya Segal Family Bwana Barry Segal akimpongeza Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kutoa hotuba ya kusisimua kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi hiyo. Picha na John Lukuwi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad