Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
(Mb.) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sri Lanka, Mhe. Prof. G.L.
Peiris walipokutana mjini Colombo, Sri Lanka wakati wa ziara ya Mhe. Membe
nchini humo hivi karibuni. Wakati wa ziara hiyo Mhe. Membe kwa niaba ya
Serikali ya Tanzania alisaini mikataba mitatu ikiwemo ule wa Tume ya Pamoja
ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Sri Lanka, Mkataba wa Ushirikiano katika
masuala ya Siasa na Mkataba wa Makubaliano katika Maendeleo na Utafiti wa
Kilimo endelevu cha Minazi.
WAHITIMU CATC WAKUMBUSHWA KUJIFUNZA ZAIDI SEHEMU ZA KAZI
-
*Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Uongozaji ndege TCAA Bi Flora Alphonce
akizungumza wakati wa mahafali.*
*Wahitimu wa Chuo cha Usafiri wa Anga (CAT...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment