MATUKIO :Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, asaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


23 Jul 2014

MATUKIO :Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, asaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia.


Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, akitia saini katika kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia, kufuatia kutunguliwa kwa ndege ya shirika la Malaysia MH17 na abiria wote 298 kupoteza maisha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad