MAFUNZO:WAHITIMU MAFUNZO YA MUDA MFUPI ARUSHA TECHINICAL COLLEGE(ATC)SASA KUSOMEA DIPLOMA YA UANDISI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


13 Jul 2014

MAFUNZO:WAHITIMU MAFUNZO YA MUDA MFUPI ARUSHA TECHINICAL COLLEGE(ATC)SASA KUSOMEA DIPLOMA YA UANDISI


Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Abraham Nyanda akisoma hotuba yake wakati wa kufunga  Mafunzo Unganishi(Bridging Course)yatakayowawezesha kujiunga na mafunzo ya  Stashahada ya Uandisi,kushoto ni Mtaalam wa Umwagiliaji kutoka Japan,Nobuyoshi Fujiwara na Mkuu wa Chuo,Dk Richard Masika.
Baadhi ya wanafunzi waliomaliza Mafunzo Unganishi(Bridging Course) na Kozi Awali(Pre-Entry Course)wakiwa makini kusikiliza hotuba ya Mgeni rasmi,mafunzo yatawawezesha  kujiunga na mafunzo ya  Stashahada(Diploma) ya Uandisi         katika Chuo cha Ufundi Arusha.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Masika akimpongeza mmoja wa wanafunzi waliohitimu mafunzo hayo,Aneth Chotto wakati akijiandaa kupokea Cheti kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho,Abraham Nyanda.
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Abraham Nyanda akimkabidhi Cheti mmoja wa wanafunzi waliohitimu mafunzo hayo.
Uongozi wa Chuo katika picha ya pamoja na wahitimu wa kike wanaotarajiwa kujiunga katika ngazi ya Stashahada ya Uandisi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad