KIPI SIJASIKIA ,VIDEO :UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA KIPI SIJASIKIA WA PROF JAY NA DIAMOND UNAENDELEA CHINI YA NEXT LEVEL - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


13 Jul 2014

KIPI SIJASIKIA ,VIDEO :UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA KIPI SIJASIKIA WA PROF JAY NA DIAMOND UNAENDELEA CHINI YA NEXT LEVEL


 Msanii mkongwe kwenye game la Bongo Fleva anajulikana kwa jina la Prof Jay leo mchana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha Diamond inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikishutiwa pale Sinza Makaburini ilipo Mahakama. Video imesimamiwa wa Dir Adam Juma kutoka Next Level
 Diamond kama wakili wa Profesa J

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad