JAMII ZETU :UZINDUZI RASMI WA FARIDAS FOUNDATION WAFANA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


1 Jul 2014

JAMII ZETU :UZINDUZI RASMI WA FARIDAS FOUNDATION WAFANA


Mkurugenzi  Farida A. Sekimonyo wa Faridas Foundation Akiomba Sala ya  Uzinduzi Rasmi wa Foundation
 Mshehereshaji wa Shughuli ya uziinduzi wa Faridas Foundation Taji Liundi
 Elias Masaki katibu mkuu 'CHAWATA' na pia Mweka Hazina Shirikisho la watu wenye ulemavu akichangia  mawazo kuhusiana na jinsi Farida Foundation Inavyofanya kazi zake kwa Jamii
 Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia maada mbalimbali zilizokuwa zikiendelea katika uzinduzi wa Faridas Foundation
Kassim  Kibwe Katibu wa "SHIVYAWATA" Temeke na Mwenyekiti wa Albino  akichangia maada Iliyokuwa ikiendelea katika uzinduzi wa Faridas foundation
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa umakini Uzinduzi wa Faridas Foundation
Afisa Miradi wa Faridas Foundation Bw.Lumanus  akijadiliana Jambo Na Mkurugenzi Wa Faridas Foundation Bi Farida A.Sekimonyo
 Wasanii walemavu wajulikanao kama Mabaga Fresh waliojitokeza kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Faridas Foundation wakifurahia mada zilizokuwa zinatolewa
 Mkurugenzi wa Faridas Foundation Akimkabidhi zawadi ya pointer  Mshehereshaji wa Shughuli hiyo Bw.Taji Liundi
 Afisa Miradi wa Faridas Foundation akikabidhiwa cheti cha Uadilifu na Mkurugenzi wa Foundation hiyo
Mkurugenzi wa Faridas Foundation(kulia) Akiwakabidhi cheti cha  Ushirikiano wawakilishi wa Global Publisher
 Mwakilishi Bw.Geofrey Adroph wa mtandao wa Dj Sek Blog akipokea Cheti Kwaniaba ya Mkurugenzi wa mtandao huo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad