HONGERA MTANGAZAJI: MUNGU AWE NAWE BI. REGINA MWALEKWA NDANI YA KITUO CHAKO KIPYA CHA KAZI BBC - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Jul 2014

HONGERA MTANGAZAJI: MUNGU AWE NAWE BI. REGINA MWALEKWA NDANI YA KITUO CHAKO KIPYA CHA KAZI BBC


  Kushoto ni Bi. Regina Mwalekwa na Fatma Almasi Nyangasa

Wakiwa wenye Nyuso za Furaha.Watangazaji mahiri wa Radio na Televisheni,Bi.Regina Mwalekwa aliyekuwa mtangazaji wa Radio One na baadae akahamia Clouds FM/TV na sasa amejiunga na Shirika la Utangazaji la BBC akiwa na mtangazaji mwenzake kutoka kituo cha televisheni cha ITV/Radio One Bi.Fatma Almas Nyangasa,kama walivyonaswa na Camera ya Globu ya Jamii ndani ya viwanja vya maonyesho ya Saba saba yanayoendelea hivi sasa jijini Dar.Bi Regina Mwalekwa kwa sasa sauti yake itakuwa ikisikika rasmi ndani ya BBC. Globu ya Wazalendo 25 Blog  inamtakia kila lakheri katika kituo chake kipya cha kazi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad