ELIMU ZETU :WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA CHUO CHA UFUNDI GONJA MHEZA WILAYANI SAME. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


23 Jul 2014

ELIMU ZETU :WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA CHUO CHA UFUNDI GONJA MHEZA WILAYANI SAME.




Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria kufungua jengo moja wapo katika chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akitoka katika moja ya jengo katika chuo cha Ufundi Gonja-Mheza muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi na kukata utepe kuaashiria kuanza kwa  ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiotesha mti katika eneo la ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.
Mke wa Waziri mkuu,Mama Tunu Pinda akiotesha mti katika eneo la ujenzi wa Chuo cha Ufundi cha Gonja-Mheza wilayani Same.
Mke wa Waziri mkuu Mama Tunu Pinda akizungumza na wakazi wa Gonja Maore ,wakati waziri mkuu Mizengo Pinda alipofanya ziara ya siku moja kuweka jiwe la msingi katika chuo cha ufundi Gonja Mheza wilayani Same.


Waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ,Mizengo Pinda akizungumza muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja Mheza wialayani Same.
Mbunge wa jimbo la Same Mashariki ,Anne Kilango akizungumza muda mfupi baada ya waziri mkuu Mizengo Pinda kuweka jiwe la Msingi katika Chuo cha ufundi cha Gonja Mheza.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad