ZIARA YA MKAPA: MHE. EDWARD LOWASSA AMKARIBISHA RAIS MTAAFU MHE. BENJAMIN MKAPA WILAYANI MONDULI, ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


15 Apr 2014

ZIARA YA MKAPA: MHE. EDWARD LOWASSA AMKARIBISHA RAIS MTAAFU MHE. BENJAMIN MKAPA WILAYANI MONDULI, ARUSHA

Rais mstaafu wa awamu wa tatu Mh. Benjamin Mkapa amefanya ziara kutembelea shule ya msingi ya Manyara Ranchi inayofadhiliwa na shirika la kimataifa la uhifadhi wa wanyamapori la African Wildlife Foundation (AWF) Wilayani Monduli. Mzee Mkapa ni Makamu Mwenyekiti wa shirika hilo lenye makao yake makuu mjini Washington Marekani. picha mbalimbali zinamuonesha Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimuongoza Rais Mkapa kuzuru shule hiyo.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza Mzee Mkapa
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akiagana na  Mzee Mkapa. Picha zaidi bofya hapa rweyemamu info blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad