WANAWAKE NA MAENDELEO : MAMA SALMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE KUTENGENEZA BIDHAA AMBAZO SOKO LAKE LINAPATIKANA KIRAHISI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Apr 2014

WANAWAKE NA MAENDELEO : MAMA SALMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE KUTENGENEZA BIDHAA AMBAZO SOKO LAKE LINAPATIKANA KIRAHISI

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi vya Wanawake Mbagala, (UWAMBA), Mama Zenna Hanga kwenye sherehe za uzinduzi wa vikundi hivyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Dar Live huko Mbagala Rangi tatu jijini Dar es salaam.
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete aksalimaian na baadhi ya  wanachama wa UWAMBA na Wananchi wa Mbagala wakati wa sherehe za uzinduzi wa Umoja huo
  Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wana UWAMBA wakati wa sherehe za uzinduzi wa kikundi cha huko Mbagala
  Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wana UWAMBA wakati wa sherehe za uzinduzi wa kikundi cha huko Mbagala
 Wanachama wa UWAMBA wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe ya uzinduzi wa umoja wao huko Dar Live Mbagala
   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live
   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live
   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua nembo wakati wa  uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akimkabidhi komputa Mwenyekiti wa UWAMBA, Zenna Hanga kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya UWAMBA mara tu baada ya kuzindua rasmi Umoja huo huko Mbagala
Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisaidiana na Mama Tabu Likoko kutoka WAMA, wakimkabidhi Mwenyekiti wa UWAMBA, Mama Zenna Hanga moja ya charahani walizozitoa kwa umoja huo wakati wa sherehe za uzinduzi huko Mbagala. Picha na John Lukuwi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad