CCM CHALINZE YASHINDA :RIDHIWANI KIKWETE AWASHUKURU WAKAZI WA CHALINZE KWA KUMCHAGUA KUWA MBUNGE WAO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


8 Apr 2014

CCM CHALINZE YASHINDA :RIDHIWANI KIKWETE AWASHUKURU WAKAZI WA CHALINZE KWA KUMCHAGUA KUWA MBUNGE WAO

 Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa  kumchagua kuwa mbunge wao  uliofanyika katika Uwanja vya Miembe saba, Tume ya taifa ya Uchaguzi imemtangaza Mh.Ridhiwani Kikwete  kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika juzi Aprili 6
 Mke wa mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Bi. Arafa Ridhiwani akiwasalimia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Bwilingu uwanja wa Miembe Saba Chalinze.
Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani akiwashukuru wananchi wa Chalinze baada ya kumchagua kuwa mbunge wao katika uchaguzi uliofanyika juzi jimboni humo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad