VYETI KWA WAHITIMU: MWIGULU NCHEMBA AWATUNUKU VYETI WASOMI WA ELIMU YA MIPANGO MIKAKATI, JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


13 Mar 2014

VYETI KWA WAHITIMU: MWIGULU NCHEMBA AWATUNUKU VYETI WASOMI WA ELIMU YA MIPANGO MIKAKATI, JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha akisalimiana na Wahadhiri wa Chuo Cha Uhasibu Arusha mara baada ya Kuwasili tayari kwaajili ya Kuongoza Mahafali ya Kwanza ya Wanafunzi wa Kutoka Nchi za SADC na EAC waliokuwa wanasomea kozi za Masomo ya Strategic Programmes.Naibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba akiwa kwenye Matembezi ya pamoja na Wahitimu kuelekea eneo la Mahafali katika Ukumbi wa Chuo cha IAA,Matembezi haya yaliongozwa na BlassBand ya Jeshi.
 Mh.Mwigulu Lameck  Nchemba akizungumza na Wahitimu Pamoja na Wahadhiri namna alivyofurahishwa na Fursa hii ya Kuimarisha Umoja wa Nchi zetu za SADC na EAC kupitia Elimu,Pia Ubunifu Uliofanywa na Chuo Cha Uhasibu Arusha kuruhusu Masomo ya Mipango Mikakati kwaajili ya Maendeleo ya Jumuia Zetu.
Naibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Lameck Nchemba akiwatunuku Vyeti Wahitimu.
 Baadhi ya Wahitimu wa Diploma-Post Graduate in Strategic Programmes wakivaa Kofia zao ikiwa ni Ishara ya Kuheshimu tunuku ya Elimu yao kutoka kwa Naibu Waziri wa Fedha mhe. Mwigulu Nchemba.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad