SIKU YA WANAWAKE: SHEREHE YA KUADHIMISHA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MWEMBE-YANGA JIJINI DAR - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


9 Mar 2014

SIKU YA WANAWAKE: SHEREHE YA KUADHIMISHA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MWEMBE-YANGA JIJINI DAR


 Wafanyakazi wanawake kutoka ofisi mbalimbali wakiwa wamejipanga kwaajili ya kuanza maandamano hapo jana yaliyoanzia katika shule ya msingini mabatini iliyopo Wilaya ya Temeke na kuishia katika uwanja wa Mwembe Yanga, wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani yaliyofanyika tarehe 8 Machi 2014.
 Kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani wakksindikizwa na Bendi ya Polisi wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani iliyofanyika Jana katika Uwanja wa Mwembe Yanga, Wilayani Temeke Jijini Dar Es Salaam.
Bendi ya Kikosi cha Kujenga Taifa nao wakiwasindikiza waandamaji katika Kilele cha Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika jana tarehe 8 Machi 2014 katika Viwanja Vya Mwembe Yanga, Wilayani Temeke, Jijini Dar
 Wadau wa Mfuko wa PPF nao wakiwa katika Maandamano
 Mgeni Rasmi Bi Hawa Ghasia (wa pili kushoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mh Mecky Sadick na wageni wengine wakiwa tayari kuyapokea maandamano yaliyofika katika Uwanja wa Mwembe yanga jana wakati wa maadhimisho ya SIkukuu ya Wanawake Dunia.
 Wakazi wa Temeke wakiwa Juu kushuhudia yaliyokuwa yakiendelea katika Viwanja vya Mwembe Yanga wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani yaliyofanyika tarehe 8 Machi 2014 katika viwanja hivyo
 Magereza nao hawakuwa nyuma
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari nao wakishangilia siku ya wanawake duniani. Kwa Picha Zaidi Bofya Hapa >>>

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad