HARAKATI ZA CCM CHALINZE : RIDHIWANI KIKWETE APIGWA TAFU NA OLE SENDEKA NA LEKULE LAIZER - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


18 Mar 2014

HARAKATI ZA CCM CHALINZE : RIDHIWANI KIKWETE APIGWA TAFU NA OLE SENDEKA NA LEKULE LAIZER

Ridhiwani Kikwete ni msikivu kwa kila mtu,bila kujali rika.
Wananchi wa Kijiji cha Mandela,Kata ya Mandela wakiwa wametulia kwa umakini mkubwa kabisa kumsikiliza Mgombea Ubunge wao.
Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wanaMandela.
Mgombea Ubunge Chalinze,Ridhiwani Kikwete akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Mandela.
Walipata wasaa wa kutembelea Jengo la zamani la waasisi wa TANU,ambalo sassa lipo katika hali mbaya.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,Mh. Ahmed Kipozi akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete.
Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi na wanaCCM wa Msata.
Chagua CCM,Chagua Ridhiwani kwa Maendeleo ya Chalinze.
Burudani.
Wakiteta jambo.

Diwani wa Kata ya Msata akimwaga cheche zake kwa Wananchi wake.
WanaMsata wakifuatilia Mkutano kwa umakini kabisa.
Waliokuwa wanachama wa Chadema wakionyesha kadi zao kabla ya kuzibabidhi kwa Mgombea.
Sasa umeingia CCM.
Mtu wa watu.
Diwani wa Kata ya Lugoba akiwahutubia wana Lugoba.

Mbunge wa Jimbo la Longido,Mh. Lekule Laizer
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka akiwaomba Wananchi wa Lugoba,Jimbo la Chalinze kutofanya makosa kwenye Uchaguzi Mdogo ndani ya Jimbo lao na Wampigie Kura Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete. Sendeka aliyasema hayo, Machi 17,2014 katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Sokoni wakati alipopita kuwasalimia WanaChalinze.
Wewe ni wa Chalinzeeeee
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka akiwaomba Wananchi wa Lugoba,Jimbo la Chalinze kutofanya makosa kwenye Uchaguzi Mdogo ndani ya Jimbo lao na Wampigie Kura Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete. Sendeka aliyasema hayo Machi 17,2014 katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Sokoni wakati alipopita kuwasalimia WanaChalinze.
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka akiongoza kikao watu wa jamii ya Wafugaji wa Mkoa wa Pwani.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwa katika Mkutano na Wazee wa Kimasai walipokuwa wakijadilina juu ya swala la Wafugaji wa Chalinze na Pwani kwa Ujumla, Machi 17,2014 kwenye Ukumbi wa Masai,Chalinze.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwa amekabidhiwa fimbo ikiwa ni ishara ya kusimikwa na kuwa Laigwanani wa Kimasai na Laigwanan Ole Masinga, Machi 17,2014.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad