FURAHA KWA MAMA WA MAPACHA WA TATU:MAPACHA WATATU WAZALIWA SALAMA KATIKA HOSPITALI YA AICC ILIOPO ,JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


8 Mar 2014

FURAHA KWA MAMA WA MAPACHA WA TATU:MAPACHA WATATU WAZALIWA SALAMA KATIKA HOSPITALI YA AICC ILIOPO ,JIJINI ARUSHA


Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya AICC Jjiini Arusha. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Prof. Sendui Ole Nguyaine (kushoto), mama mzazi wa watoto hao, Janeth Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa Hospitali hiyo. Mama huyo alijifungua kwa njia ya oparesheni wakiwa na afya njema. 
 (Picha kwa hisani ya AICC)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad