CCM NA SIASA ZAKE : RIDHIWANI, KINANA NA MAMA SALMA KIKWETE KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Mar 2014

CCM NA SIASA ZAKE : RIDHIWANI, KINANA NA MAMA SALMA KIKWETE KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana,Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete pamoja na wanaCCM wengine wakitembea kuelekea kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika Machi 19, 2014.
Matembezi yakiendelea.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akicheza ngoma ya asili.
Ilikuwa ni Shangwe tupu kwa wanaChalinze hasa pale alipofika Kipenzi Chao,Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo,Ridhiwani Kikwete kwenye viwanja hivyo tayari kwa Uzinduzi wa Kampeni za CCM.
Mama Salma Kikwete akimlaki kijana wake,ambaye ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Kikwete.


Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Sam wa Ukeli a.k.a Mwana wa Chalinze akitoa burudani kwa Wana Chalinze waliofika kwa kwenye Uzinduzi wa Kampeni za CCM.
"Wana Chalinze Mambo.........."

Ridhiwani Kikwete akiyarudi Magona na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Sam wa Ukweli.






















No comments:

Post a Comment

Post Top Ad