AFRIKA MASHARIKI :RAIS WA KENYA MHE. UHURU KENYATTA NA MAKAMU WAKE WALIVYOTEMBELEA MAKAO MAKUU YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) JIJINI ARUSHA. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

29 Mar 2014

AFRIKA MASHARIKI :RAIS WA KENYA MHE. UHURU KENYATTA NA MAKAMU WAKE WALIVYOTEMBELEA MAKAO MAKUU YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) JIJINI ARUSHA.

Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta akizungumza na wananchi wa Namanga mpakani mwa nchi hiyo na Tanzania akiwa na Naibu wa Rais William Rutto
Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta(kati) akivuka mpaka wa Namanga kuingia Tanzania akisindikizwa  Naibu wa Rais,William Rutto(shoto)na Balozi wa Tanzania nchini Kenya,Dk Batlida Burian
Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA)Magreth Zziwa
Viongozi mbalimbali wa EAC wakifurahia hotuba ya Rais Uhuru Kenyatta
Baadhi ya wafanyakazi wa EAC wakiwa kwenye kikao na Mwenyeikiti wa Vikao vya Jumuiya ya Afrika Mashariki,Rais Uhuru Kenyatta.
 
 Baadhi ya wafanyakazi wa EAC wakiwa kwenye kikao na Mwenyekiti wa Vikao vya Jumuiya ya Afrika Mashariki,Rais Uhuru Kenyatta.

Baadhi ya wafanyakazi wa EAC wakiwa kwenye kikao na Mwenyekiti wa Vikao vya Jumuiya ya Afrika Mashariki,Rais Uhuru Kenyatta. Picha zote na Filbert Rweyemamu

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad