NIGERIA:MCHEZA FILAMU MAARUFU WA KIKE (MERCY JOHNSON) ANUNULIWA GARI LA KIFAHARI NA MUMEWE - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


27 Jun 2013

NIGERIA:MCHEZA FILAMU MAARUFU WA KIKE (MERCY JOHNSON) ANUNULIWA GARI LA KIFAHARI NA MUMEWE


Mcheza filamu wa Ki-nigeria ambae amewahi kucheza filamu na baadhi ya wasanii wa Ki-Tanzania kama vile Marehemu Steven Kanumba katika filamu ya she is my Sister  na wengine ,amenunuliwa gari la kifahari aina ya Lexus GX 460 na mumewe lenye thamani kubwa kwa pesa za huko yaani zaidi ya (N15 Millions). Mumewe ambae anakwenda kwa jina la Prince Odi Okojie, amemnunulia Mercy Johnson hilo gari wiki chache zilizopita na kuweka jina lake  katika namba za gari hilo (number plate). Kwa hisani ya linda ikeji blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad